From Wikipedia, the free encyclopedia
Alfabeti ya Kimongoli ni aina ya mwandiko unaotumiwa kuandika lugha chache nchini Uchina na Mongolia kama vile Kimongoli, Kimanchu au Kievenki. Ni alfabeti kweli kwa sababu hutumia herufi tofauti kwa irabu na konsonanti.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfabeti ya Kimongoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.