Ajirakitendo cha kufanya kazi kwa malipo mara nyingi huwa ni makubaliano ya mda mrefu baina ya mwajili na mwajiliwa / From Wikipedia, the free encyclopedia Ajira (kutoka neno la Kiarabu) ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi. ajira binafsi nchini Uingereza mwaka 2008-2014
Ajira (kutoka neno la Kiarabu) ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi. ajira binafsi nchini Uingereza mwaka 2008-2014