![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/69/Agnetha_F%25C3%25A4ltskog.jpg/640px-Agnetha_F%25C3%25A4ltskog.jpg&w=640&q=50)
Agnetha Fältskog
From Wikipedia, the free encyclopedia
Agnetha Fältskog (amezaliwa na jina la Agneta Åse Fältskog (1950-04-05)5 Aprili 1950) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Sweden.
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Amezaliwa ...
Agnetha Fältskog | |
---|---|
![]() | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 5 Aprili 1950 (1950-04-05) (umri 74) Jönköping, Sweden |
Aina ya muziki | Pop |
Kazi yake | Mwimbaji, Mtunzi, Mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti, Piano |
Aina ya sauti | [1]Soprano |
Miaka ya kazi | 1967–1988, 2004–2005 |
Studio | Cupol CBS Records Polar Music Warner Music Group |
Tovuti | http://www.agnetha.net |
Funga
Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati wa wanachama wa kundi la muziki la Kiswidi, ABBA.