Ni mchezaji wa soka wa nchini kongo From Wikipedia, the free encyclopedia
Aaron Wan-Bissaka (alizaliwa 26 Novemba 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katIKa klabu Manchester United ya Ligi Kuu ya Uingereza .
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufalme wa Muungano |
Nchi anayoitumikia | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uingereza |
Jina katika lugha mama | Aaron Wan-Bissaka |
Jina halisi | Aaron |
Jina la familia | Wan-Bissaka |
Tarehe ya kuzaliwa | 26 Novemba 1997 |
Mahali alipozaliwa | Croydon |
Lugha ya asili | Kiingereza |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | full-back |
Alisoma | Oasis Academy Shirley Park |
Muda wa kazi | 2016 |
Mwanachama wa timu ya michezo | Crystal Palace F.C., Manchester United F.C., DR Congo national under-20 football team, England national under-20 association football team, England national under-21 association football team |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 2017–18 Premier League, 2018–19 Premier League, 2019 UEFA European Under-21 Championship qualification Group 4, 2019 UEFA European Under-21 Championship |
Wan-Bissaka alianza kazi yake na timu Crystal Palace na aliitwa kama Mchezaji bora wa Mwaka wa Klabu hiyo kwa msimu wa 2018-2019. Alisaini mkataba kujiunga na timu ya Manchester United mwezi Juni 2019.
Wan-Bissaka ana asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na alionekana mmoja Wa wachezaji wa timu Kongo chini ya miaka 20 mwaka 2015. Ameshawahi kuiwakilisha nchi yake, kwenye mashindano , chini ya ngazi ya umri wa miaka 21.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aaron Wan-Bissaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.