Makala hii inahusu mwaka 1066 BK (Baada ya Kristo).

Matukio

Thumb
Zulia ya picha ya Bayeux inaonyesha picha za mapigano ya Hastings 1066. Maandishi ya Kilatini yasema: Willelm Dux in magno .. (Mtemi William katika kubwa..)

Ulaya - Uingereza:

  • 25 Septemba - Mapigano kwa daraja la Stamford (Uingereza): Mfalme Harold wa Uingereza anazuia jaribio la Waviking Wanorway la kuvamia Uingereza. Jeshi la Uingereza laelekea mara moja kwa mbio kusini dhidi ya Wanormandy.
  • 14 Oktoba - Mapigano ya Hastings; jeshi lililochoka la Uingereza linashindwa na Wanormandy chini ya William Mshindi. Uingereza unatekwa na Wanormandy.
  • 25 Desemba - William Mshindi wa Normandy anapokea cheo cha mfalme wa Uingereza.

Afrika:

Waliozaliwa

Mwaka 2024 katika kalenda nyingine
Kalenda ya Gregori 2024
MMXXIV
Kalenda ya Kiyahudi 5784 – 5785
Ab urbe condita (Roma ya Kale) 2777
Kalenda ya Ethiopia 2016 – 2017
Kalenda ya Kiarmenia 1473
ԹՎ ՌՆՀԳ
Kalenda ya Kiislamu 1446 1447
Kalenda ya Kiajemi 1402 1403
Kalenda za Kihindu
- Vikram Samvat 2079 – 2080
- Shaka Samvat 1946 – 1947
- Kali Yuga 5125 5126
Kalenda ya Kichina 4720 4721
癸卯 – 甲辰

Waliofariki

Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga
Ukweli wa haraka
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Funga

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.