Wapremontree
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wapremontree au Wanorberti au Wakanoni Weupe ni watawa wa shirika la kikanoni lililoanzishwa na Norbert wa Xanten mwaka 1120 huko Premontree, karibu na Laon.
Maelezo zaidi Imani, Muundo ...
Funga
Ufupisho wa jina la shirika ni O.Praem (Ordo Praemonstratensis).