Vitória, Espírito Santo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Vitória ni jina la mji mkuu wa jimbo la Espírito Santo katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 320,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Kanda ...
Jiji la Vitória | |
Majiranukta: 20°19′08″S 20°19′08″W | |
Nchi | Brazil |
---|---|
Kanda | Southeast |
Jimbo | Espírito Santo |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 320,156 |
Tovuti: www.vitoria.es.gov.br |
Funga