Reutlingen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Reutlingen ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani Kusini. Iko kando ya mto Neckar. Idadi ya wakazi wake ni takriban 112,176. Mji ulianzishwa 741.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Reutlingen | |||
| |||
Mahali pa mji wa Reutlingen katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 48°29′0″N 9°13′0″E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Baden-Württemberg | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 112,176 | ||
Tovuti: www.reutlingen.de |
Funga