Rennes
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rennes ndiyo mji mkuu katika mkoa la Bretagne. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2012, mji una wakazi wapatao 690,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 30 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Rennes | |
Mahali pa mji wa Rennes katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 48°6′53″N 1°40′46″W | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Bretagne |
Wilaya | Ille-et-Vilaine |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 209,613 |
Tovuti: www.rennes.fr |
Funga