Orléans
From Wikipedia, the free encyclopedia
Orléans ni mji wa Ufaransa. Iko mwambaoni wa mto Loire 130 km kusini ya Paris. Orléans ni makao makuu ya wilaya (kifaransa: departement) ya Loiret katika Mkoa wa Centre. Mji una chuo kikuu ni pia makao ya dayosisi ya Orleans yenye kanisa kuu la kihistoria lenye sifa kubwa za kisanii lililojengwa 1278 hadi 1329. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 355,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 300-410 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Orléans | |||
| |||
Mahali pa mji wa Orléans katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 47°54′9″N 1°54′32″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Centre | ||
Wilaya | Loiret | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 113,130 | ||
Tovuti: www.orleans.fr |
Funga