Kiolesura cha mtumiaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika utarakilishi, kiolesura cha mtumiaji (kwa Kiingereza: user interface) ni nafasi ambapo mtumiaji anaweza kuingilia tarakilishi yake.
Madhumuni ya mwingiliano huu ni kuruhusu utendaji kazi na udhibiti mzuri wa mashine(tarakilishi) na mwanadamu, huku mashine wakati huo huo ikitoa taarifa zinazosaidia mchakato wa kufanya maamuzi na uendeshaji.