Kaspersky Lab
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kaspersky Lab ni taasisi ya usalama wa mitandao ya kimataifa kuhusiana na virusi vinavyoishambulia kompyuta, na inatoa huduma ya kupambana na virusi hivyo vya kompyuta. Ina makao makuu mjini Moscow, Urusi na inaendeshwa na kampuni iliyomo nchini Uingereza.