Dominika
From Wikipedia, the free encyclopedia
Dominika ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi. Haitakiwi kuchanganywa na Jamhuri ya Dominika ambayo ni nchi nyingine katika Karibi.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Après le Bondie, C'est la Ter (Kifaransa) (Baada ya Mungu ni dunia) | |||||
Wimbo wa taifa: Isle of Beauty, Isle of Splendour | |||||
Mji mkuu | Roseau 15°18′ N 61°23′ W | ||||
Mji mkubwa nchini | Roseau | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali Rais Waziri Mkuu |
Demokrasia Charles Savarin Roosevelt Skerrit | ||||
Uhuru Tarehe |
3 Novemba 1978 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
750 km² (ya 174) 1.6 | ||||
Idadi ya watu - Agosti 2016 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
73,543 (ya 1951) 71,293 105/km² (ya 95) | ||||
Fedha | East Caribbean Dollar (XCD ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC-4) | ||||
Intaneti TLD | .dm | ||||
Kodi ya simu | +1-767
- | ||||
1Rank based on 2005 UN estimate. |
Funga
Nchi ni mwanachama wa Jumuiya ya Madola, lakini ni jamhuri.