Chiwetel Ejiofor
Muigizaji kutoka uingereza (amezaliwa 1977) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Chiwetel Umeadi Ejiofor' (alizaliwa 10 Julai 1977) ni mwigizaji na mtengenezaji wa filamu wa Uingereza.
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Ejiofor amepokea tuzo nyingi na uteuzi wa uigizaji pamoja na tuzo ya BAFTA Orange Rising Star katika mwaka wa 2006, mbili za tuzo la Golden Globe, na Tuzo ya Laurence Olivier la Mwigizaji Bora kwa utendaji wake huko Othello mwaka wa 2008. Anajulikana sana kwa utendaji wake katika filamu ya ’12 Years A Slave’ ambapo aliigiza kama jukumu la kuongoza Solomon Northup. Anajulikana pia kwa kucheza Okwe katika ‘Dirty Pretty Things’ (2002), The Operative katika ‘Serenity’ (2005), Lola katika ‘Kinky boots’ (2005), Luke katika ‘Children of Men’ (2006), Dk Adrian Helmsley katika ‘2012’ (2009) na Dk Vincent Kapoor katika ‘The Martian’ (2015).