Abovyan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Abovyan (Kiarmenia: Աբովյան) ni jiji lililopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Kotayk. Upo km 10 kutoka upande kaskazini-mashariki mwa Yerevan. Mnamo mwaka wa 2008, jiji limekadiriwa kuwa na idadi ya wakazi takriban 36,705, kutoka chini 59,000 kwenye sensa ya 1989 na 44,569 kwenye sensa ya 2001.